Interviews kidato cha kwanza 2025
Shule ya Carmel Secondary School Malolo, inapenda kuwajulisha kuwa mtihani wa pili wa kujiunga na kidato cha kwanza – 2025 utafanyika tarehe 24/08/2024 saa 03:00 asubuhi.

Piga namba hizi hapa chini kwa mawasiliano na uongozi wa shule kwa maelezo zaidi:
05686987498/0687600635