KUJIUNGA NA PRE-FORM ONE

FORM ZA KIDATO CHA KWANZA ZINAPATIKANA

1. MorogoroCarmel Pre & Primary School na Parokia ya Bikira Maria Mlima Karmeli, Kihonda Maghorofani.

2. Dar-es-SalaamMsimbazi Center – Imani Stationery, Parokia ya Mt. casinos onlineTeresia: Mbezi Mwisho, Mt. Peter Claver: Mbezi Louis.

3. DodomaKanisa Kuu la Roma , Amani Primary School.

4. Mikumi: Mikumi Parokiani na St. Peter Claver English Medium School.

5. Kilombero: Shule ya msingi, Mapinduzi-Ruaha.

6. Mbeya: Parokia ya Mt. James-Uyole, Malisho Spirituality Centre.

7.Website ya shule

VITUO VYA MITHIANI

Dodoma
Amani Primary School
TAREHE YA MTIHANI   14/10/2020
Muda: 9.00 am (saa tatu asubuhi)
Dar-es-Salaam
Kanisa Katoliki: Mt. Peter Claver, Mbezi Luis (Morogoro Road)
TAREHE YA MTIHANI   10/10/2020 NA 14/10/2020
Muda: 9.00 am (saa tatu asubuhi)
Morogoro
Carmel Pre & Primary School, Kihonda Maghorofani
TAREHE YA MTIHANI   10/10/2020 NA 14/10/2020
Muda: 9.00 am (saa tatu asubuhi)
Mbeya, Njombe, Makambako
Malisho Spirtuality Center, Carmelite Fathers – Uyole – Mbeya
TAREHE YA MTIHANI   14/10/2020
Muda: 9.00 am (saa tatu asubuhi)
Kilosa, Mikumi, Kilombero na Ifakara
Shule ya Msingi Mapinduzi – Ruaha, Kilombero
TAREHE YA MTIHANI   10/10/2020

Muda: 9.00 am (saa tatu asubuhi)
Malolo, Iringa
Carmel Secondary School, Malolo
TAREHE YA MTIHANI   10/10/2020
Muda: 9.00 am (saa tatu asubuhi)