Maelekezo ya kununua fomu mtandaoni
Tafadhali bonyeza hapa kusoma maelezo ya kina kabla ya kulipia fomu
- Lipia TSh 20,000/= kwenye mojawapo ya namba zifuatazo
|
0764 919 496 |
|
0787 793 362 |
Tumia namba ya simu ya Voda au Airtel kufanya malipo. Usitumie wakala wala mtandao mwingine
Ikiwa huna MPESA na Airtel Money, fanya malipo kwa kutumia simu ya Voda au Airtel ya mtu mwingine. Hili halina shida kwetu.
-
Ndani ya muda mfupi tutakutumia ujumbe kwenye namba uliyoitumia kufanya malipo. Ujumbe huo utakuwa na token.
Kama ulitumia simu ya mtu mwingine, jitumie ujumbe huo kwenye simu yako kwa ajili ya kumbukumbu
-
Bonyeza Pakua fomu. Ingiza namba ya simu uliyotumia kufanya malipo.
Namba hiyo ipo kwenye ujumbe tuliokutumia pia
-
Ingiza token tuliyokutumia kwa ujumbe mfupi
-
Ingiza majina mawili ya mwanafunzi kwenye sehemu husika. Kuwa makini, hutaweza kubadilisha ukishahifadhi taarifa
-
Hifadhi Taarifa
-
Pakua fomu. Ichape na ufuate maelekezo yake.