Enrolment Details
Carmel Secondary School enrolls students across the globe. As an international school, learners of different religion, race colour and background are welcomed.
Pre Form One inaanza tarehe 24-09-2023 hadi tarehe 12-12-2023
KUJIUNGA NA PRE-FORM ONE
FORM ZA KIDATO CHA KWANZA ZINAPATIKANA
1. Morogoro: Carmel Pre & Primary School na Parokia ya Bikira Maria Mlima Karmeli, Kihonda Maghorofani.
2. Dar-es-Salaam: Msimbazi Center – Imani Stationery, Parokia ya Mt. Teresia wa Mtoto Yesu: Mbezi Mwisho, Mt. Peter Claver: Mbezi Louis.
3. Dodoma: Kanisa Kuu la Roma , Amani Primary School.
4. Mikumi: Mikumi Parokiani na St. Peter Claver English Medium School.
5. Kilombero: Shule ya msingi, Mapinduzi-Ruaha.
6. Mbeya: Parokia ya Mt. James-Uyole, Malisho Spirituality Centre.
7.Website ya shule
VITUO VYA MITHIANI
Dodoma Amani Primary School TAREHE YA MTIHANI 12/08/2023 Muda: 9.00 am (saa tatu asubuhi) | Dar-es-Salaam Kanisa Katoliki: Mt. Peter Claver, Mbezi Luis (Morogoro Road) TAREHE YA MTIHANI 12/08/2023 Muda: 9.00 am (saa tatu asubuhi) | Morogoro Carmel Pre & Primary School, Kihonda Maghorofani TAREHE YA MTIHANI 12/08/2023 Muda: 9.00 am (saa tatu asubuhi) |
Mbeya, Njombe, Makambako Malisho Spirtuality Center, Carmelite Fathers – Uyole – Mbeya TAREHE YA MTIHANI 12/08/2023 Muda: 9.00 am (saa tatu asubuhi) | Kilosa, Mikumi, Kilombero na Ifakara Shule ya Msingi Mapinduzi – Ruaha, Kilombero TAREHE YA MTIHANI 12/08/2023 Muda: 9.00 am (saa tatu asubuhi) | Malolo, Iringa Carmel Secondary School, Malolo TAREHE YA MTIHANI 12/08/2023 Muda: 9.00 am (saa tatu asubuhi) |