Admission Information
Enroll for a new admission on or before December 2020. Also opportunities are open for students to join Carmel Secondary School from different school for form three.
Shule ya Carmel Secondary School Malolo, inapenda kuwajulisha kuwa mtihani wa pili wa kujiunga na kidato cha kwanza – 2025 utafanyika tarehe 24/08/2024 saa 03:00 asubuhi. Piga namba hizi hapa chini kwa mawasiliano na uongozi wa shule kwa maelezo zaidi:05686987498/0687600635